BBC News, Swahili - Habari
Habari kuu
Moja kwa moja , Bunge la Seneti nchini Marekani lapitisha msaada wa $95bn kwa Ukraine, Israel na Taiwan
Bunge la Seneti nchini Marekani limeidhinisha kifurushi cha msaada wa $95bn (£75.2bn) kwa Ukraine, Israel na Taiwan baada ya miezi kadhaa ya mizozo ya kisiasa.
Meli kubwa zaidi duniani iliyozamishwa na majeshi ya Saddam Hussein
Ingawa meli hii ilikuwa na uwezo wa kubeba mamilioni ya lita za mafuta, haikuweza hata kuingia bandari nyingi kutokana na ukubwa wake.
Putin aweka masharti kwa Marekani ili kusitisha vita Ukraine
'Hawawezi Kuishinda Urusi' - Putin
Charles Darwin: Namna nadharia yake ilivyobadili mjadala kuhusu Mungu na Dini
Safari za Darwin kuzunguka dunia zilichangiaje nadharia yake?
Video, 'Nilipenda kuwa wa kwanza kuleta mwanga katika kijiji chetu'Muda, 2,26
Fatma Haji Juma ni miongoni mwa wanawake wa kwanza kuwa fundi wa umeme wa jua kisiwani Zanzibar
Bob Marley na mambo ambayo hukuyafahamu kumhusu
Kabla ya kuzinduliwa kwa filamu mpya kuhusu maisha ya Bob Marley hapa mambo manne ambayo hukuyafahamu kumhusu nyota huyo.
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 13.02.2024
Kiungo wa kati wa Manchester City na Ureno Bernardo Silva, 29, anawaniwa na Paris St-Germain, huku mabingwa hao wa Ufaransa wakiwa tayari kulipa dau lake la pauni milioni 51. (Fichajes - kwa Kihispania)
Zircon: Kwanini kombora jipya la Urusi ni hatari na lina uwezo gani?
Kwanini ni kombora hatari?
Marubani wanaosaka ndege zisizo na rubani za Wahouthi katika anga ya Bahari ya Shamu
BBC imepewa fursa nadra ya kufikia meli za kivita za Jeshi la Marekani zinazotoa ulinzi kwa meli za kibiashara katika Bahari ya Shamu.
Michezo
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
Sikiza / Tazama
Gumzo mitandaoni
Daktari wa 'mchongo' agunduliwa baada ya miaka 43
Aliwezaje kuwa daktari?
Burkina Faso: Je, wakosoaji wa serikali huadhibiwa kwa kupelekwa mstari wa mbele wa vita?
Je, wakosoaji wa Serikali ya Kijeshi Burkina Faso wanalazimishwa kwenda mstari wa mbele kupigana na wanajihadi?
Je, Wahouthi wana uwezo wa kuhujumu nyaya za mawasiliano chini ya bahari?
Iran inaweza kuwawezesha Wahouthi kushambulia waya za intanet chini ya bahari?
Vita vya Arctic? Kwa nini Norway na Denmark zinaisaidia Ukraine katika vita na Urusi
Baada ya kuzuka kwa vita kamili kati ya Urusi na Ukraine , Norway na Denmark zilikuwa wafadhili wakuu katika sekta ya usalama ya Ukraine. Norway ilitoa mifumo muhimu ya ulinzi wa anga ya NASAMS, na Denmark ikawa moja ya nchi za kwanza za NATO kuamua kuipatia Ukraine silaha za wa F-16.
'Biden anacheza na moto Mashariki ya Kati na kuhatarisha Vita vya Tatu vya Dunia' - New York Post
'Njia pekee ya kutuliza mvutano Mashariki ya Kati ni kutangazwa taifa la Palestina"
Jinsi ya kugundua ulaghai wa ofa za kazi kwenye WhatsApp na nini cha kufanya ili kuziepuka
Ujumbe wenye nambari kutoka nchi isiyojulikana na unaotoa mapato kwa kazi rahisi, pia ulifika kwenye WhatsApp ya David Guzmán.
Kwa nini baadhi ya watu huhisi uchovu kila wakati?
Kwa baadhi ya watu , haijalishi wamelala kiasi gani, bado watahisi uchovu na kupungukiwa nguvu kidogo, hii inatokana na nini?
Mtu asiye na pasipoti, viza wala tiketi aliwezaje kusafiri kwa ndege hadi Marekani?
Mwanaume huyo alifikaje Marekani?
“Ndoa ya wazazi wangu ilizua kashfa ya kimataifa”
Ilikuwa ni hadithi nyingine ya mapenzi, lakini uhusiano wa kimapenzi kati ya mmishonari Mzungu Mwingereza Ruth Holloway na mhudumu wa simu mweusi Mkenya John Kimuyu uligeuka kuwa kashfa kubwa kwenye vyombo vya habari mwishoni mwa miaka ya 1950.
Nchi gani ni watengenezaji na watumiaji wakuu wa droni Mashariki ya Kati?
Zijue nchi zinazoongoza kuzalisha droni Mashariki ya Kati